Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 11 23Article 573670

Burudani of Tuesday, 23 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Kiba Atangaza Kuanza Tour ya Only One King

Alikiba Alikiba

MFALME wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ametangaza rasmi kuanza tour yake ambayo ameipa jina la #OnlyOneKingTour ambapo tour hiyo itazinduliwa rasmi jijini Mwanza.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kiba ameandika; "One month after dropping Only One King Album, mapokezi yake yamekua makubwa sana!! asanteni sana.

And December is here, let’s get the party started, i’m officially announcing only one king tour is on. Tunaanza na Rock City, Mwanza on 17th December!! save the date,” amesema Kiba.