Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 03Article 540859

xxxxxxxxxxx of Thursday, 3 June 2021

Chanzo: eatv.tv

Kigwangalla ampigia Saluti Young Lunya

Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini Tabora Mhe Hamisi Kigwangalla amemsifu msanii Young Lunya na amempa moyo kwa kuendelea kufanya vizuri kwa sababu ana ujuzi mwingi.

Submitted by Shaluwa Anta on Alhamisi , 3rd Jun , 2021 Kulia ni Hamisi Kigwangalla, kushoto ni msanii Young Lunya

Kutoka kwenye ukurasa wa Twitter anaoutumia Hamisi Kigwangalla ameandika kuwa 

"Dogo Young Lunya kaupiga mwingi sana mpaka kanifanya nimfuatilie, si unajua mimi ni mpenzi wa Oldies, hawa wa kizazi chenu hawa bhana ila kani-impress sana kwa kweli! leo siku ya pili nafanya mazoezi na nyimbo zake 'Keep it up' mdogo wangu, you’ve got skills" 

Young Lunya kwa sasa anatamba na wimbo wake wa mbuzi na video yake ipo Trending namba 17 kwenye mtandao wa YouTube, na video hiyo amei-shoot nchini South Africa.  

Join our Newsletter