Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 11 25Article 573970

Burudani of Thursday, 25 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Kitu alichoandika Beka Flavour baada ya kupata ajali usiku

Beka Flavour apata ajali ya ajabu Beka Flavour apata ajali ya ajabu

Kupitia page yake ya Instagram msanii Beka Flavour ameweka taarifa za kupata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo wakati anatoka studio kurekodi.

Beka Flavour ameshea picha ya gari alilopata nalo ajali huku akiita ajali hiyo ni ya ajabu kwa sababu hajui ilikuaje na imetokea ghafla.

"Wakati natoka studio usiku huu nimepata kaajali cha ajabu sana, yaani hata sijui ilikuaje ghafla tu nimejikuta hapo, kikubwa nimetoka mzima kabisa Mungu mkubwa sana" ameandika Beka Flavour