Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 26Article 544351

LifeStyle of Saturday, 26 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Kufuru Tupu Sherehe Ya Dida Mlimani City - Video

Kufuru Tupu Sherehe Ya Dida Mlimani City - Video play videoKufuru Tupu Sherehe Ya Dida Mlimani City - Video

Kama jana jioni na usiku wa kuamkia leo ulibahatika kukatiza kwenye Barabara ya Sam Nujoma kutokea Ubungo kuelekea Mwenge au kutokea Mwenye kuelekea Ubungo au Chuo Kikuu cha Mlimani au Makongo au Changanyikeni jijini Dar, utakuwa ni shuhuda wa jinsi eneo la Mlimani City lilifunga kwa magari ya kifahari.

Hapo ndipo kulipokuwa na sherehe iliyosheheni kufuru ya mtangazaji Khadija Isihaka Shaibu ‘Dida’

na Meya wa Jiji la Dar, Omary Kumbilamoto ambayo ilikuwa ni pambe tu.

Shughuli hiyo ilipambwa na vitu vya kifahari kuanzia magari, mavazi, kufuru ya kumwaga pesa, watu kula na kunywa hadi kusaza na mengine mengi, tunaendelea kukupa updates za vibwanga vya mastaa ambao walifurika kama wote.

STORI NA SIFAEL PAUL | GPL