Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 10 13Article 563104

LifeStyle of Wednesday, 13 October 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Kutana na hii ya mama anayeshea mwanaume na mama yake

Story ya mama anayeshea mwanaume na mama yake Story ya mama anayeshea mwanaume na mama yake

HISIA kali zimetolewa katika mitandao ya kijamii ya video ya Tiktok ya mwanamke mmoja kusema kuwa yeye na mama yake wanalala na mwanaume mmoja.

Katika video hiyo aliyoiweka kwenye mtandao wa TikTok, Madi Brooks anaeleza jinsi anavyoishi na mume wake pamoja na mamake nchini Marekani.

Hii ina maanisha kuwa huu ni uhusiano wa wazi ambapo wanaweza kubadilishana wenza katika sherehe na shughuli mbalimbali.

Kawaida uhusiano wa wazi, wapenzi huwa wanakubaliana kuhusiana na watu wengine bila kuficha. Wanaweza kuwa pamoja au kila mtu kivyake.