Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 18Article 543310

Burudani of Friday, 18 June 2021

Chanzo: millardayo.com

LIVE:Harmonize afunguka mbele ya waandishi wa habari

LIVE:Harmonize afunguka mbele ya waandishi wa habari play videoLIVE:Harmonize afunguka mbele ya waandishi wa habari

Ni Headlines za staa kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae time hii amekutana na waandishi wa habari na kufunguka kuhusu App mpya iitwayo Ceek ambayo itakuwa inahusika kuonesha kazi za wasanii mbalimbali.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Harmonize alisema ‘Ceek unaweza ukaweka kazi zako na watu wakaangalia bure ama unaweza ukauza kupitia ama ukitaka kuangalia lazima ulipie kwahi6yo ni App nzuri kwa wasanii kunufaika na kukua kisanaa hata kiuchumi, kwa mfano mimi concert  yangu itaonesha live kupitia App hiyo ya Ceek’– Harmonize

‘Ningependa kusisitiza kwa wasanii wenzangu hii App ni nzuri sana na ninawakaribisha walete kazi zao ili mashabiki waliopo katika mataifa mbalimbali wanufaike na kazi zenu na nyie pia mnufaike, kwahiyo hapa wahusika wataeleza jinsi ya kujiunga katika App hii’- Harmonize