Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 30Article 544849

Burudani of Wednesday, 30 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Mabibi na Mabwana Alikiba katuletea "Salute" akiwa na Rudeboy

Mabibi na Mabwana Alikiba katuletea Mabibi na Mabwana Alikiba katuletea "Salute" akiwa na Rudeboy

NI Mkali kutokea kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Alikiba ambae time hii ametuletea video mpya ya wimbo uitwao Salute aliyomshirikisha mkali kutoka Nigeria Rube Boy, unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili wakali hao wakipita wasome mlichokiandika.