Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 10 11Article 562564

Burudani of Monday, 11 October 2021

Chanzo: eatv.tv

Majibu ya Barnaba kuhusu kuvaa nguo za kike

Majibu ya Barnaba kuhusu kuvaa nguo za kike play videoMajibu ya Barnaba kuhusu kuvaa nguo za kike

Mkali wa muziki Bongo Barnaba Classic amesema anaona amefanya kitu sawa kwenye maisha yake baada ya kuonekana akitrend mitandaoni kwa kuvaa sketi ya kike.

Barnaba Classic anasema haitaji kuelezea sana suala hilo kwa kuwa haliwahusu watu pia kazi yake ya sanaa inaingiliana na mambo ya fashion, kupata comments nyingi na watu kumuongelea.