Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 10Article 541939

xxxxxxxxxxx of Thursday, 10 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Makamu Rais wa Miss East Africa atua Bongo kwaajili ya maandalizi ya mashindano hayo

Miss Rwanda 2016 na Makamu wa Rais wa Mashindano ya Miss East Africa Jolly Mutesi amewasili Tanzania akitokea Rwanda, na alipotua Airport  DSM alizungumza na waandishi kuhusu ujio wake hapa bongo. PLAY kutazama alichozungumza.

Join our Newsletter