Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 07 16Article 547198

Burudani of Friday, 16 July 2021

Chanzo: eatv.tv

Marioo aibuka na Albamu

Marioo aibuka na Albamu Marioo aibuka na Albamu

Hitmaker wa "Mama Amina" na zingine kibao, Marioo ameweka wazi kuwa album yake itatoka mwezi wa 9 mwaka huu.

Submitted by Telesphory on Ijumaa , 16th Jul , 2021Marioo ame-share taarifa hizo njema kupitia ukurasa wake wa instagram kuwa mwezi Septemba 25,2021 itakuwa ndio tarehe rasmi ya kuachia, ingawa hajaweka wazi jina wala idadi ya nyimbo na wasanii aliowashirikisha kwenye album hiyo.

Hii itakuwa ni album yake ya kwanza kwa nyota huyo ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na umahiri wake kwenye uimbaji na uandishi wa nyimbo zake.

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Maoni