Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 09Article 556414

Burudani of Thursday, 9 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Master Jay afunguka "Vijana wa siku hizi wanavimba" (video+)

Master Jay afunguka play videoMaster Jay afunguka "Vijana wa siku hizi wanavimba" (video+)

Ni September 8, 2021 umefanyika uzinduzi wa msimu wa kumi na mbili wa Mashindano ya Bongo Star Search. Sasa miongoni mwa Majaji waliozungumza katika hafla hiyo ni Master Jay ambapo kaelezea mienendo ama tabia za vijana wa karne hii ya sasa.

“Lazima ufanye kazi kwa bidii ujitume ila vijana wa siku hizi wapo tayari kufeki mafanikio kwenye mitandao ya kijamii, maisha sio marahisi”- Master Jay “Vijana wa siku sizi wanapenda sana mremko, kuvimba haraka sana hususani kufeki mafanikio kwenye mitandao ya kijamii”- Master Jay