Uko hapa: NyumbaniBurudani2022 01 08Article 584293

Burudani of Saturday, 8 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Maua Ataja Sababu za Kuachana na Mzungu

Maua Ataja Sababu za Kuachana na Mzungu Maua Ataja Sababu za Kuachana na Mzungu

Maua Sama alichagua muziki mbele ya penzi la mzungu ambaye alimtaka mwimbaji huyo aache muziki na ahamie nchini Italia ili waishi pamoja. Kwenye mahojiano na mtangazaji Salama Jabir kupitia kipindi cha #SalamaNa Maua Sama alisema; “Nilikuwa na boyfriend Mzungu kutokea Italy lakini alitaka niache muziki nikaishi nae na hiyo ni passion yangu na ni kitu ambacho sikuweza kufanya,”- amesema Maua Sama.