Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 10 10Article 562366

Burudani of Sunday, 10 October 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Maud Elka Awataja Diamond na Ibraah

Mau Elka Mau Elka

MSANII wa muziki kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye maskani yake yapo nchini Ufaransa, Mau Elka amesema kuwa, wasanii kutoka Tanzania ambao anatamani kufanya nao kolabo ni pamoja na Diamond Platnumz na Ibraah wa Konde Gang.

Maud amewataja wasanii hao kama wasanii wakubwa nchini Tanzania anaotamani kufanya nao kolabo.

Maud aliyasema hayo, juzi, baada ya kutua Bongo kukamilisha video ya wimbo wake wa Songi Songi Remix aliofanya na King Kiba.

STORI ZOTE; KHADIJA BAKARI, DAR