Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 05 26Article 539998

Burudani ya

Chanzo: millardayo.com

Mbunge ataka kupanda juu ya meza kuonesha msisitizo, azuiwa (+video)

Mbunge ataka kupanda juu ya meza kuonesha msisitizo, azuiwa (+video) play videoMbunge ataka kupanda juu ya meza kuonesha msisitizo, azuiwa (+video)

“Serikali irudi ikajipange upya iondoe suala la sitakabadhi ghalani kwenye mazao haya madogomadogo iache kwenye mazao makubwa kama korosho. Choroko na soya havina haja” Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Msongozi

“Haiwezekani mimi niwaombe muondoe suala hili la stakabadhi ghalani kwenye mazao madogomadogo, siku moja Flatei Masai alisema atarukage sarakasi, mimi nasema nipande juu ya meza, nipande juu ya Meza Spika kama kanuni inaruhusu?, nilisema labda ningepanda juu ya meza Dunia ijue ili suala hatulihitaji”-Mbunge wa viti maalum CCM Jacqueline Msongozi

Join our Newsletter