Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 07Article 541477

LifeStyle of Monday, 7 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Mfungwa alieandika vitabu 81 akiwa gerezani (+video)

Mfungwa alieandika vitabu 81 akiwa gerezani (+video) play videoMfungwa alieandika vitabu 81 akiwa gerezani (+video)

Simulizi ya Majid Goa aliyehukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la ubakaji wakati huo akiwa na umri wa miaka 28 nyumbani kwao Rorya Mkoa wa Tarime.

Amekaa magereza matano Tanzania na wakati akiwa gerezani alifanikiwa kuandika vitabu 81 vya maisha yake.

Hatimaye March 2021 ameachiwa huru kwa msamaha wa Rais akiwa ametumikia miaka 16 jela ametoka akiwa na miaka 44 na kukuta mke wake anaishi na mwanaume mwingine.

Join our Newsletter