Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 25Article 544168

Burudani of Friday, 25 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Mkali Alikiba katuletea collabo aliyomshirikisha Rudeboy wa PSquare "Salute"

Mkali Alikiba katuletea collabo aliyomshirikisha Rudeboy wa PSquare Mkali Alikiba katuletea collabo aliyomshirikisha Rudeboy wa PSquare "Salute"

NI Headlines za mkali kutokea Bongo Flevani, Alikiba ambapo time hii ametuletea collabo mpya akiwa ameshirikisha msanii wa Nigeria Rudeboy wa Pquare, unaweza ukabonyeza play kuisikiliza single hiyo mpya iitwayo Salute.