Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 10 08Article 562066

Burudani of Friday, 8 October 2021

Chanzo: millardayo.com

Mke wa Will Smith kwenye mtoko na mwanaume mwingine

Mke wa Will Smith kwenye mtoko na mwanaume mwingine Mke wa Will Smith kwenye mtoko na mwanaume mwingine

Jada Smith ambae ni mke wa staa wa filamu nchini Marekani, Will Smith tayari ameshaanza kutekeleza kauli ya mumewe kuwa wapo katika mahusiano ya Huru.

Mahusiano ya Huru yaani kuwa penzini na watu wengine, sasa hivi karibuni Jada Smith ameonekana akiwa na Mwigizaji Duane Martin huko California katika mtoko wa kimahaba.

Inaelezwa mtoko huu unakuwa wa kwanza kwa Jada Smith kuonekana na mwanaume mwingine tangu Will Smith aliposema kuwa kwasasa wapo katika Penzi Huru.