Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 08 22Article 553006

Burudani of Sunday, 22 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Mkongwe Khadija Kopa afunguka "Simuandikii nyimbo Zuchu"

Mkongwe Khadija Kopa afunguka play videoMkongwe Khadija Kopa afunguka "Simuandikii nyimbo Zuchu"

Kutoka kwenye Zuchu Home Coming usiku wa kuamkia leo, Khadija Kopa amezungumzia Home Coming na mengine tusiyoyafahamu kuhusu Zuchu.“Nimefurahi mapokezi mwa Mwanangu ni makubwa sana sikutegemea kiukweli nawashukuru sana wana Zanzibar na kuna wanaosema namuandikia nyimbo Zuchu hapana sio kweli”- Khadija Kopa