Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 11 23Article 573625

Burudani of Tuesday, 23 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Mpenzi wa Harmonize Hamfikii Kajala

Harmonize Harmonize

MTANGAZAJI na mshambenga Juma Lokole anasema kuwa, kuhusu mpenzi mpya wa Harmonize au Konde Boy Mjeshi, basi Watanzania wamepigwa na kitu kizito kisogoni kwani hamfikii ex wa jamaa huyo ambaye ni Kajala Masanja au Mama Pau.

Juma Lokole anasema kuwa, kinachomsumbua Harmonize ni stresi kwani tangu amekuwa na mwanamke huyo hajampiga hata busu, tofauti kabisa na mahaba ya hatari aliyokuwa akipewa na Kajala.

“Wewe mwanamke gari hakuna hata mahaba mazito kama yale ya Kajala? Wewe umeona wapi hata picha tu akiwa anampiga busu...” Anasema Juma Lokole.