Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 13Article 542452

Burudani of Sunday, 13 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Mtangazaji Fredwaa afariki kwa ajali Dar es salaam

Mtangazaji Fredwaa afariki kwa ajali Dar es salaam Mtangazaji Fredwaa afariki kwa ajali Dar es salaam

Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kama kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo Dar es salaam, taarifa za awali zinasema amefariki baada ya kupata ajali Kawe akiwa yeye ndio anaendesha akiwa na abiria mmoja ndani ya gari ambae yeye amejeruhiwa tu.

Fredwaa amewahi kufanya kazi kama Mtangazaji kwenye vituo mbalimbali vya Radio kama Radio Free Africa Mwanza pamoja na CloudsFM Dar es salaam, tunaendelea kufatilia zaidi ili kukuletea taarifa kamili kuhusu kifo chake na msiba…. pumzika kwa amani Fredwaa.