Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 21Article 543601

LifeStyle of Monday, 21 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Mtanzania aliyeacha mshahara wa mill.30 benki ya dunia (+video)

Jefrey Jessy maarufu kwa jina la (Speshoz) play videoJefrey Jessy maarufu kwa jina la (Speshoz)

Jefrey Jessy maarufu kwa jina la (Speshoz) ni kijana wa kitanzania aliyeacha kazi benki ya dunia ambapo alikuwa akilipwa zaidi ya million 30 kwa mwaka na akaamua kufungua ofisi yakushona nguo ambapo ameweza kuwavalisha watu mbalimbali nguo ikiwemo msanii Diamond Platnumz pamoja na hayti Dkt John Magufuli.

pamoja na biashara nyingine ambazo anazifanya ameamua kufungua kiwanda cha vinywaji katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro ambapo amesema fedha nyingi anayoipata ameamua kuwekeza kwenye biashara