Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 10 06Article 561604

Mitindo/Urembo of Wednesday, 6 October 2021

Chanzo: eatv.tv

Muna Love afanya upasuaji wa lips

Muna Love afanya upasuaji wa lips Muna Love afanya upasuaji wa lips

Wanawake wengi hufanya upasuaji (surgery) ili kuboresha mwonekano wao, na kwa mara nyingine tena Muna Love amfanya hivyo kwa kutengeneza lips za mdomo wake.

Huu ni mwendelezo wa upasuaji kwake baada ya  kufanya hivyo sehemu ya shavuni na kutengeneza dimpozi na kuweka nyusi huko nchini Uturuki huku bado anatarajia kuendelea mpaka zifikii (Surgery) nane ili kutimiza idadi ya surgery 11 ambazo aliahidi atafanya.