Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 10 21Article 564742

Burudani of Thursday, 21 October 2021

Chanzo: millardayo.com

"Muziki wazimwa Bar" Cosota waanza kupita kumbi za starehe (video+)

play video"Muziki wazimwa Bar" Cosota waanza kupita kumbi za starehe (video+)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan aliagiza Taasisi ya haki Miliki Tanzania (COSOTA) kuhakikisha Inakusanya mirabaha kwenye maeneo yanayotumia kazi za Wasanii ili Wasanii waanze kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao kutumika kwenye maeneo mbalimbali kuanzia December 2021.

Sasa kutoka Dodoma imefanyika operesheni maalumu ikiwahusisha COSOTA na Jeshi la Polisi ambapo wamepita kwa ajili ya kukagua maeneo mbalimbali yanayotumia kazi za ubunifu hasa muziki bila kulipia mirabaha ambapo Ayo TV imeshuhudia baadhi ya Baa muziki ukizimwa kwa waliokaidi kulipa, video hii imenasa kila kitu.