Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 08 30Article 554479

LifeStyle of Monday, 30 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Mwanamke acharuka Kanisani baada ya mumewe kufunga ndoa ya pili kimya kimya (video+)

Mwanamke acharuka Kanisani baada ya mumewe kufunga ndoa ya pili kimya kimya (video+) play videoMwanamke acharuka Kanisani baada ya mumewe kufunga ndoa ya pili kimya kimya (video+)

Mama mmoja nchini Rwanda amezua taharuki Kanisani ambako Mume alikuwa akifunga ndoa na Mke mwingine kimya kimya na kusababisha vurugu ambazo ziliibuka Kanisani.Ayo TV & millardayo.com itakuletea mwendelezo wa stori hii, hapa nimekuwekea video ushuhudie kile kilichotokea Kanisani.