Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 10Article 542101

Burudani of Thursday, 10 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Mwigizaji Kajala na mwanae Paula kuja na reality Show

Mwigizaji Kajala na mwanae Paula kuja na reality Show Mwigizaji Kajala na mwanae Paula kuja na reality Show

NI Mwigizaji Kajala Masanja ambae time hii kupitia kukurasa wake wa inastagram amewajuza mashabiki wake ujio wa reality show yake ambayo ameipa jina la ‘Mother &  Daughter  like twins’, katika reality show hiyo ataonekana pia binti yake Paula.

Kipindi hicho kipya ambacho kitakuwa kikionesha maisha halisi ya Kajala na Mwanae Paula lakini bado hakijawekwa wazi mahali kitakaporushwa hewani, endelea kukaa nasi Ayo TV & millardayo.com tutaendelea kukujuza.

Join our Newsletter