Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 19Article 543415

Burudani of Saturday, 19 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Nandy Festival 2021; Ben Pol Afunika Mwanza - Video

Nandy Festival 2021; Ben Pol Afunika Mwanza - Video play videoNandy Festival 2021; Ben Pol Afunika Mwanza - Video

Nandy Festival 2021; Ben Pol Apiga Shoo ya Kibabe Mwanza – Video June 19, 2021 by Global Publishers

MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva, Benham Paul ‘Ben Pol’, usiku wa kuamkia leo Juni 19, 2021 amefanya shoo ya aina yake jijini Mwanza  kwenye tamasha lake la Nandy Festival 2021.

Nandy, amesindikizwa na wanamuziki wengine akiwemo Baba Levo, Fid Q, Meja Kunta na wengine. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx