Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 02Article 554929

Burudani of Thursday, 2 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Nandy alivyoshindwa challenge nakupewa yai anywe, Baba levo aingilia kati (video+)

Nandy alivyoshindwa challenge nakupewa yai anywe, Baba levo aingilia kati (video+) play videoNandy alivyoshindwa challenge nakupewa yai anywe, Baba levo aingilia kati (video+)

Ni kutoka kwenye Jumba la Nandy Festival ambapo time hii wasanii watakao perform kwenye Tamasha hilo siku ya Jumamosi Sept 4, 2021 katika Viwanja vya Posta wameweka kambi.

Sasa Ayo TV & Millardayo.com itakuwa inakuletea matukio mbalimbali yale yanayojiri kambini hapo.