Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 10 09Article 562267

Burudani of Saturday, 9 October 2021

Chanzo: millardayo.com

Nisha hataki kupoa, aendelea kutimiza ndoto zake, kazindua hili (video+)

Nisha hataki kupoa, aendelea kutimiza ndoto zake, kazindua hili (video+) play videoNisha hataki kupoa, aendelea kutimiza ndoto zake, kazindua hili (video+)

NI Usiku wa kuamkia Leo ambapo Mchekeshaji Nisha amealika waandishi wa habari na wadau mbalimbali katika uzinduzi sehemu itakayohusika kuhusu bidhaa za Camera na nyinginezo.

Sasa hapa Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea ushuhudie tukio hilo lilivyokuwa na alichozungumza na waandishi wa habari.