Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 21Article 558898

LifeStyle of Tuesday, 21 September 2021

Chanzo: millardayo.com

PICHA 10:Muonekano wa jiji la DAR kutokea jengo la Palm Village

PICHA 10:Muonekano wa jiji la DAR kutokea jengo la Palm Village PICHA 10:Muonekano wa jiji la DAR kutokea jengo la Palm Village

Kama ulikuja 88.5 Dar miaka kumi iliyopita ama unataka kujua jiji linavyoonekana kwasasa basi Camera za Millardayo.com leo Septemba 21 , 2021 imezinasa muonekano wa jiji la Dar nyakati za jioni maeneo ya Mikocheni.

Mpiga picha wa millardayo.com amezinasa picha hizi akiwa amesimama kwa juu katika jengo la Palm Village Apartment.

.......