Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 07 16Article 547222

Burudani of Friday, 16 July 2021

Chanzo: millardayo.com

PICHA 6:Alikiba kapata shavu la ubalozi wa kinywaji hiki

PICHA 6:Alikiba kapata shavu la ubalozi wa kinywaji hiki PICHA 6:Alikiba kapata shavu la ubalozi wa kinywaji hiki

Leo Jully 16, 2021 Mwimbaji Staa Alikiba anaingia kwenye vichwa vya habari baada ya kutambulishwa rasmi kama Balozi mpya wa kinywaji cha Energy drink kiitwacho Power Horse.

Hapa nimekusogezea picha kadhaa ujione tukio likiendelea muda huu Serena Hotel mbele ya waandishi wa Habari.

 

..

Na kuhusu uwepo wa logo ya Manchester City katika kinywaji hicho Alikiba amesema ni kwa Sababu Power Horse ni wadhamini wa team hiyo, hivyo Alikiba ameahidi siku moja kuwaona hata wachezaji wa Manchester City wanaweza kuja kwenye mchezo wa SamaKiba siku moja....