Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 10Article 556570

Tabloid News of Friday, 10 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Petit man alimwaga hili mbele ya waandishi kuhusu Esma Platnumz (video+)

Petit man alimwaga hili mbele ya waandishi kuhusu Esma Platnumz (video+) play videoPetit man alimwaga hili mbele ya waandishi kuhusu Esma Platnumz (video+)

NI Petit man ambae hapo awali alitambulika mitandaoni baada ya kuwa na ukaribu na Mwigizaji Wema Sepetu, pia kuzaa na Esma Platnumz,.

Sasa leo  Septemba 9 ,2021 amekutana na Waandishi kuzungumza kuhusu arobaini ya mtoto wake aliezaa na mwanamke mwingine pamoja na kuelezea sakata lake na Esma lililowahi kuchukua sura tofauti baada ya wawili hao kuachana.

“Kiukweli Esma ni Mzazi mwenzangu na sina tatizo nae na baada ya mahusiano yake kuharibika alinitafuta na tulikaa na tukaongea lakini siwezi kuyaongea haya na kunitafuta huko ni kama mzazi mwenzangu”– Petitman