Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 08Article 556192

LifeStyle of Wednesday, 8 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Picha 5:Fred Vunja Bei alietengeneza jezi za Simba SC, afika Bungeni Dodoma

Picha 5:Fred Vunja Bei alietengeneza jezi za Simba SC, afika Bungeni Dodoma Picha 5:Fred Vunja Bei alietengeneza jezi za Simba SC, afika Bungeni Dodoma

Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei ambae pia alishinda tenda ya kutengeneza jezi na vifaa vya michezo vya Simba kwa mkataba wa miaka miwili yenye thamani ya Sh 2 bilioni.

Leo hii Septemba 8, 2021 amefika Bungeni Dodoma kama mgeni mwaliko, hizi ni baadhi ya picha kadhaa kutokea Bungeni.

...