Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 08 15Article 551551

Burudani of Sunday, 15 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Picha 6:Msanii Whozu apata shavu la ubalozi

Picha 6:Msanii Whozu apata shavu la ubalozi Picha 6:Msanii Whozu apata shavu la ubalozi

Ni Headlines za staa kutokea lebo ya Too Much Money, Whozu ambae leo Agosti 14, 2021 ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kutangazwa rasmi kuwa balozi wa kutangaza bidhaa za  KodTEC.

Kodtec ni kampuni inayohusika kwa uuzaji wa bidhaa mbalimbali,  Millardayo.com imekusogezea picha 6 ujionee namna staa huyo alivyotambulishwa mbele ya waandishi wa habati.

.....