Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 30Article 560587

Burudani of Thursday, 30 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Picha 6:Msanii wa Nigeria Patoranking katua Tanzania, apokelewa na Alikiba

Picha 6:Msanii wa Nigeria Patoranking katua Tanzania, apokelewa na Alikiba Picha 6:Msanii wa Nigeria Patoranking katua Tanzania, apokelewa na Alikiba

NI Headlines za mkali kutokea Nigeria Patoranking ambae time hii ametua Tanzania na kupokelewa na mwenyeji wake Alikiba.

Inaelezwa wawili hao wameelekea visiwani Zanzibar kwaajili ya maandalizi ya collabo yao mpya.

Ikumbukwe Septemba 29, 2021 Alikiba alitambulisha cover ya album yake na huenda Patoranking akawa miongoni mwa wasanii watakaopatikana katika album hiyo mpya iliyopewa jina la Only one king.

Hizi ni baadhi ya picha zikimuonesha Alikiba na msanii huyo wa Nigeria aitwae Patoranking.

....