Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 21Article 558724

Burudani of Tuesday, 21 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Picha 8:Mjengo mpya wa Kanye West wenye thamani Bilioni 132 za kitanzania

Picha 8:Mjengo mpya wa Kanye West wenye thamani Bilioni 132 za kitanzania Picha 8:Mjengo mpya wa Kanye West wenye thamani Bilioni 132 za kitanzania

Ni Rapper kutokea nchini Marekani, Kanye West ambapo time hii anazimiliki vichwa vya habari baada ya kununua mjengo mpya zaidi ya Shilingi Bilioni 132 za kitanzania.

Mjengo huo unaelezwa upo katika fukwe za Malibu mjini California.Hapa nimekusogezea picha za muonekano wa jengo hilo.

.......