Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 17Article 543091

LifeStyle of Thursday, 17 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Raia wa India mwenye watoto 89 na wake 38 afariki

Raia wa India mwenye watoto 89 na wake 38 afariki Raia wa India mwenye watoto 89 na wake 38 afariki

Ni Simanzi zilizotawala nchini India baada ya Raia anayekadiriwa kuwa na familia kubwa zaidi Duniani Bwana Ziona Chana amefariki dunia, raia huyo mwenye umri wa miaka 76 ambae ni mzaliwa wa jimbo la Mizorum (India) ameacha wake 38 na watoto 89 pamoja na wajukuu 36.

chanzo cha kifo chake ni maradhi ya Shinikizo la Moyo pamoja na ugonjwa wa Kisukari ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.