Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 07Article 541543

Burudani of Monday, 7 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Rapcha katuletea hii video mpya "Lissa" itazame hapa

Rapcha katuletea hii video mpya Rapcha katuletea hii video mpya "Lissa" itazame hapa

Kutoka Bongo Records mkali wa Hip Hop Rapcha time hii ametuletea video mpya ya wimbo wake uitwao Lissa  ambao unaelezea mwanamke aliempenda na baadae anakuja kumsaliti kwenye mapenzi, katika video hii ameonekana Gigy Money, Mtangazaji wa Wasafi Fm Lily Ommy na wengineo.

WOSIA WA TB JOSHUA KUELEKEA BIRTHDAY YAKE “HAITAKUWA RAHISI, SITOWEZA KUSHEREHEKEA”

Join our Newsletter