Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 10 07Article 561790

Burudani of Thursday, 7 October 2021

Chanzo: millardayo.com

Shilole alivyotaka kuondoka ukumbini kwa maumivu ya viatu (video+)

Shilole alivyotaka kuondoka ukumbini kwa maumivu ya viatu (video+) play videoShilole alivyotaka kuondoka ukumbini kwa maumivu ya viatu (video+)

NI Msanii kutokea Bongo Flevani, Alikiba ambae muda huu amewaalika mastaa na wadau muziki kusikiliza album yake mpya aliyoipa jina la Only one King.

Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea video hii ushuhudie Shilole alivyoitwa mbele na Mwijaku kuzungumza huku akilalamika kuhusu viatu alivyovaa.