Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 08 16Article 551809

Tabloid News of Monday, 16 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Shishi na mumewe nusu walianzishe baada ya kutoka kwenye party ya Wolper (Video+)

Shishi na mumewe nusu walianzishe baada ya kutoka kwenye party ya Wolper (Video+) play videoShishi na mumewe nusu walianzishe baada ya kutoka kwenye party ya Wolper (Video+)

Ni baada ya kutoka kwenye party ya Mwigizaji Jacqueline Wolper ya kuvishwa Pete ya Uchumba na mzazi mwenzake Rich Mitindo.

Sasa miongoni mwa walioalikwa ni msanii Shilole na Mume wake, na hapa walizungumza na Ayo TV/ Millardayo.com unaweza play kufahamu walichozungumza.