Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 10 02Article 560854

Mitindo/Urembo of Saturday, 2 October 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Sudan Kusini, Kenya washindi mashindano ya Viziwi

Washibdi wa Miss & Mr Deaf 2021. Washibdi wa Miss & Mr Deaf 2021.

Mshiriki kutoka nchini Sudan Kusini ametwaa Taji la Miss Deaf 2021 katika Mashindano ya Afrika ya Urembo na Mitindo kwa Viziwi 2021 yaliyofanyika Jijini Dar es salaam Usiku wa Kuamkia leo.

Kwa Upande wa Wanaume, Mshiriki kutoka nchini Kenya ametwaa Taji la Mr Deaf 2021.

Mashindano hayo yalishirikisha watu wenye usikivu hafifu (deef people)kwa jinsia zote za kike na kiume.