Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 11 23Article 573736

LifeStyle of Tuesday, 23 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

TOP 10: Magari 10 ya gharama zaidi duniani

TOP 10: Magari 10 ya gharama zaidi duniani TOP 10: Magari 10 ya gharama zaidi duniani

Linapokuja suala la magari makali na yenye thamani kubwa duniani, makampuni machache maalum yanakuja akilini: Bugatti, Ferrari, Koenigsegg, na Pagani, kati ya mengine mengi. Watengenezaji hawa wamejiimarisha kama mabingwa katika nafasi za juu za magari bora na ya gharama, huku wakiwapa wateja wao matajiri magari ya yenye speed kubwa, adimu, maridadi zaidi, na zaidi ni magari ya bei ghali zaidi duniani.

Lakini ili kujua ni gari lipi kati ya haya yasiyoweza kumilikiwa na mengi ni ya bei ghali zaidi, tumepitia taarifa na machapisho mbalimbali kubaini karibu magari 30 yote yenye thamani ya dola milioni 4 au zaidi.

1. Rolls-Royce Boat Tail: $28 milioni (Tsh. Bilioni 64.4)

2. Pagani Zonda HP Barchetta: $17.5 milioni (Tsh. Bilioni 40.3)

3. Rolls-Royce Sweptail: $13 milioni (Tsh. Bilioni 29.9)

4. Bugatti La Voiture Noire: $12.5 milioni (Tsh. Bilioni 28.7)

5. Bugatti Centodieci: $9 milioni (Tsh. Bilioni 20.7)

6. Bugatti Divo: $5.9 milioni (Tsh. Bilioni 64.4)

7. Pagani Huayra Imola: $5.4 milioni (Tsh. Bilioni 13.5)

8. Koenigsegg CCXR Trevita: $4.8 milioni (Tsh. Bilioni 11.0)

9. Bugatti Bolide: $4.6 milioni (Tsh. Bilioni 10.5)

10. Lamborghini Veneno: $4.5 milioni (Tsh. Bilioni 10.3)