Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 07 14Article 546991

LifeStyle of Wednesday, 14 July 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Tanzia: Gardiner Afiwa na Mama Yake

Tanzia: Gardiner Afiwa na Mama Yake Tanzia: Gardiner Afiwa na Mama Yake

Tanzia: Gardiner Afiwa na Mama Yake July 14, 2021 by Global PublishersMTANGAZAJI maarufu nchini wa Traffic Jamz ya Clouds FM, Gardner G. Habash amefiwa na mama yake mzazi, Mama Habash.

Gardner ametumia Instagram yake kuthibitisha taarifa hizo kwa kuandika; “Asante Mama yangu Mama Habash kwa kunileta Duniani, asante Mungu kwa kumleta Mama yangu duniani, nakuomba Mola wangu umepokee kwa mapenzi yako, nakuomba Mola umpumzishe kwa amani. Kwaheri Mama Habash, kwaheri Mama yangu. Kwa kudra za Mungu upumzike kwa Amani. Bwana ametoa Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.Share this:TweetWhatsApp Related