Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 10 12Article 562696

Burudani of Tuesday, 12 October 2021

Chanzo: millardayo.com

Tazama Rais Samia alivyompigia simu Steve Nyerere live (video+)

Rais Samia ampigia simu Steve nyerere katika Kongamano play videoRais Samia ampigia simu Steve nyerere katika Kongamano

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambapo amempigia simu Mwigizaji Steve Nyerere katika hafla ya Ongea na Mama iliyowakutanisha wasanii mbalimbali .

Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar Es Salaam, ikiwa na lengo la kuhamasisha watanzania kumuunga mkono Rais.

Tazama hapa ujionee Steve Nyerere alivyopokea simu na kuzungumza live na Rais Samia mbele ya wasanii wenzake.