Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 08 28Article 554158

Burudani of Saturday, 28 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Tazama shangwe la Lady Jay Dee na Professor Jay usiku wa "The Icon"

Tazama shangwe la Lady Jay Dee na Professor Jay usiku wa play videoTazama shangwe la Lady Jay Dee na Professor Jay usiku wa "The Icon"

NI Usiku wa Agosti 27, 2021 ambapo ilifanyika Tamasha la burudani lililopewa jina la The Icon ambalo liliwakutanisha wakongwe wawili Lady Jay Dee na Professor Jay.

Shangwe hizo za burudani zilitolewa Nyumbani Lounge iliyopo Namanga Dar es Salaam, hapa nimekusogezea video hii ushuhudie kile kilichofanywa na Lady Jay Dee na Professor Jay.