Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 07 16Article 547138

Burudani of Friday, 16 July 2021

Chanzo: millardayo.com

Tazama shangwe za Diamond akiendesha gari lake Rolls Royce barabarani

Tazama shangwe za Diamond akiendesha gari lake Rolls Royce barabarani play videoTazama shangwe za Diamond akiendesha gari lake Rolls Royce barabarani

NI Mkali kutokea Bongo Flevani Diamond Platinumz ambae baada ya jana kuwajulisha mashabiki wake kwamba amenunua gari la kifahari liitwalo Rolls Royce Cullinan 2021, sasa leo ameingia nalo rasmi kitaani akiwa na msanii wa Afrika Kusini, Focalistic na mtayarishaji S2kizzy.