Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 30Article 544855

Burudani of Wednesday, 30 June 2021

Chanzo: millardayo.com

VIDEO:Alikiba kafunguka Diamond BET, kumiliki magari makali

VIDEO:Alikiba kafunguka Diamond BET, kumiliki magari makali play videoVIDEO:Alikiba kafunguka Diamond BET, kumiliki magari makali

Ni Msanii kutokea Bongo Flevani, Alikiba ambae time hii baada ya kushuka kwenye jukwaa la show iliyoandaliwa na kipindi cha Clouds FM Leo Tena amekutana na wanahabari.

Staa huyo baada ya kuulizwa kuhusu Diamond kushiriki tuzo za BET alisema hapendelei kuulizwa swali hilo na akaulizwa pia kuhusu kumiliki magari makali, unaweza ukabonyeza play umsikilize alichokizungumza.