Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 07Article 541537

Burudani of Monday, 7 June 2021

Chanzo: millardayo.com

VIDEO:Dancer wa Harmonize afunguka "Harmonize havimbi, anajikosha"

VIDEO:Dancer wa Harmonize afunguka play videoVIDEO:Dancer wa Harmonize afunguka "Harmonize havimbi, anajikosha"

Ayo TV na millardayo.com inakukutanisha na atif dancer ambae ameshaonekana kupitia video za nyimbo mbili za msanii wa Bongo Fleva, Harmonize  ikiwemo Anajikosha na Atitude, dancer huyo kupitia  ayo TV ameweza kuelezea safari yake ya maisha mpaka kufanya kazi na Harmonize unaweza ukabonyeza play kumtazama.