Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 02 17Article 525058

xxxxxxxxxxx of Wednesday, 17 February 2021

Chanzo: millardayo.com

VIDEO:Mwigizaji Kajala, Paula, Harmonize na Sallam SK wafika kituoni Polisi

Mwigizaj wa Filamu, Kajala Masanja na mwanae Paula wakiambatana na Harmonize wameonekana katika kituo cha Polisi Oysterbay  Feb 16, 2021 huku Uongozi wa Ray Vanny, pia miongoni waliofika kituoni hapo ni Mh.Babu tale na Salam SK,

PLAY kutazama VIDEO.

Join our Newsletter