Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 09Article 541765

Tabloid News of Wednesday, 9 June 2021

Chanzo: millardayo.com

VIDEO:Soudy Brown na Mwijaku walivyombananisha Mwigizaji Chuchu

Ni Mahojiano ya watangazaji Soudy Brown, Mwijaku na Chuchu Hans baada ya kuulizwa kuhusu kumzalia Ray Kigosi mtoto wa pili baada ya Ray kupost kwenye Instagram yeke kuwa ni muda wa kupata mtoto mwingine. PLAY kutazama ilivyokuwa