Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 07 19Article 547633

Burudani of Monday, 19 July 2021

Chanzo: millardayo.com

Vanessa ajitokeza apinga wanaomsema kapata mtoto (Video+)

Vanessa ajitokeza apinga wanaomsema kapata mtoto (Video+) play videoVanessa ajitokeza apinga wanaomsema kapata mtoto (Video+)

Baada ya stori kuwa nyingi mtandaoni zikidai kuwa Vanessa Mdee ambae amejifungua mtoto wa kiume, hatimae amejitokeza na kupinga hilo huku akisema wanampanikisha mama yake.